top of page

KARIBU DIDIER ETUMBA UJE KUWA MBOLEA YA UDONGO

  • Sep 30, 2017
  • 2 min read

Taharifa zinasema kuwa Kamanda mkuu wa majeshi yote ya Kongo Didier Etumba kisha kuona vichapo vya jeshi lake kutoka kwa vija wa jeshi la ukombi, amehamuwa kuja kuwa tembelea na kuwatiya moyo. Vijana wana kukaribihsa naku kusubiri huku uje kuwa mbolea ya udongo kwa mazao ya chakule kisha ukombozi wa inch. Isingekuwa wana jeshi wa MONUSCO ambao mume kuwa muki iba mali ya inchi pamoja kwakuja kuwa saidia UVIRA ingekuwa tayarai kwisha kombolewa. Vijana wanakusubiri ufike ili tuone nini umekileta. Hajabu sana kuona mapigano ngapi yamekuwa katika Kongo na hakuna siku ulishuka kwenye shamba la vita. inaonyesha kwamba umepata habari kamili toka kwa ma jemadari wako Bwange na Kasereka kama vijana huku wame wapa funzo la vita wanajeshi wenu na kwamba mume nusurika kwa msahada wa ndugu zenu wezi MONUSCO ambao hawataki kupoteza maslai yao. Hakuna anayeweza kupiganisha raiya nzima. Raiya wa Kongo wame choka na usumbufu wa serikali yenu yaki mabavu, nawame hamuwa kujikombowa wenyewe. Njoo uwe mbolea ya udongo wa Mayi ya Moto ambapo viazi na maharagi ita vunwa.

Kwa wana inchi wote wa Kongo tuna waombeni muwe na subira kwani kwasasa tuna endelea na njia ya ukombozi wa inchi. Hakuna atakaye komboa inchi yetu isipokuwa sis wenyewe. Vijana wamesema ni ukombozi ama kufa - hakuna chakurudi nyuma. Tume wapa muda kidogo wa MONUSCO wa jifikiri naku amuwa kama nawo wanataka baki mbolea ya udongo wa Kongo ama aje. Kwamuda si mrefu muta pewa habari za kushikwa kwa Mji wa UVIRA ka BUKAVU hivi punde tu.

Kwani mji wa KINDU katika Mkowa wa MANIEMA karibia utakuwa umetekwa na vikosi vya ukombozi vya CNPSC. Pia Mji wa BUTEMBO vikosi vingine viko tayari kuteka kwa muda wowote.

Tena tuna mukarisha bwana DIDIER ETUMBA aje kuwa Mbolea ya undogo wa Kongo kama vile walio mutangulia. Watakao kuwa karibu naye mu ulize maswali kuusu wanzie ambao aliye watuma siku zilizo pita wamekwenda wapi??

UKOMBOZI UKO KARIBU NYIMBO ZINA ENDELEA MUNGU MKUU YUKO NASI

VIVA CNPSC VIVA RAIYA WA KONGO VIVA JAMUURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO

 
 
 

Comments


Address

Uvira, Democratic Republic of the Congo

Contact

Follow

  • Facebook
  • Twitter

©2017 BY CNPSC. PROUDLY CREATED WITH WIX.COM

bottom of page